Njia bora ili kuepuka madhara ya viuatilifu

 Viuatilifu kwa ujumla wake ni sumu ambayo hutumika kuua, kuangamiza, kufukuza, au kuzuia visumbufu katika mimea. Kama wadudu, kuvu (fungasi), magugu pamoja na baadhi ya wanyama na ndege wanao athili uzalishaji 


Baadhi ya tahadhari muhimu kuchukua katika matumizi bora y Viuatilifu
1) Vaa mavazi kinga unaponyunyiza kiuatilifu
2) Usitumie kifungashio 
cha kiuatilifu (empty container) kwa matumizi mengine
3) Usitupe ovyo kifungashio tupu cha kiuatilifu (empty chemical containers)
4) Usihifadhi kiuatilifu karibu na vyakula
5) Usile wala kunywa chochote baada ya kutumia kiuatilifu bila kunawa na kuosha mikon vizuri

No comments:

Post a Comment